ads slot

Latest Posts:

AMANDA POSHY ameamua kuonyesha majibu yake ya ngoma baada ya kuambiwa anatumia ARV

Baada ya ile story kuwa mwadada amanda poshy anatumia vidonge vya ARV (vya kuongeza siku za kuishi) mwanadada ameamua kuudhihirishia umma kwa kuonyesha majibu ya vipimo vya ngoma na ile
habari ilikuwa inalengo la kumchafua kwa jamii baada ya kupima na kuweka majibu hadharani kwenye mtandao mmoja wa kijamii.
katika picha hiyo mwanadada huyo aliandika kuwa ni vizuri kuvheki afya yako mara kwa mara
picha iliyokuwa ikionyesha majibu hayo ya ngoma mwanadada huyo yupo HIV NEGATIVE
like page yangu ya facebook hapa >>>Mtaani Magazine
nifollow twitter hapa>>>Mtaani Magazine
ili uweze kupata kila ninapotupia mzigo mpya like or follow ili usipitwe
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment