ads slot

Latest Posts:

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YAUWA SHINYANGA

Habari ilitufikia hivi punde Ajali mbaya imetokea katika kijiji cha samuye mkoani shinyanga basi la uniq express lenye
namba za usajili T 148 BKK  limegongana na gari la kampuni ya cocacola watu 10 wamepoteza maisha na wengine hamsini wamejeruhiwa majeruhi wamekimbizwa katika hospital ya mkoa shinyanga.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment