ads slot

Latest Posts:

Busu la Kajala Lilinifanya Nilale Usingizi Mnono- Senga

Mchekeshaji maarufu Bongo, Joseph Senga ‘Senga’ amefunguka kuwa busu alilompiga staa wa kike wa filamu, Kajala Masanja lilimfanya alale usingizi mnono sana ukizingatia kuwahajawahi kubusu shavu laini kiasi hicho kwasababu
warembo wengi wanazingua.Akizungumza na Centre Spread, Senga alisema alipatafursa hiyo ya kumpiga busu wakati wakiigiza filamu matata ya Pishu iliyoandaliwana Kajala Entertainment, itakayoingia sokoni Mei Mosi,ambapo alisema anajikubali katika filamu hiyo ambayo anaamini itavunja watu mbavu.“Wewewee umpige busu Kajala utashindwa kulala kweli jamani,yaani nilishtuka kumeshakucha kabisa lakini pamoja na yote mimi ni mchekeshaji ila kwa filamu yaPishu nimeinua mikono,”alisema Senga.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment