Ndoto za mwigizaji maarufu na mrembo wa bongobmuvi ndoto za kwenda kujifungulia marekani zimefika ukingoni baada ya daktari wake kumwambia kuwa kwa miezi hii ulipofikia
umechelewa hauwezi kusafiri kwa usafiri wa ndege kwani ni hatari.
kitaalam mimba ikifika zaidi ya miezi saba ni hatari kusafiri kwa ndege kwani inaweza kupelekea presha ya mama kushuka kutoka na kubadilika kwa hewa ndege ikiwa angani...hivyo mashirika ya ndege yanautaratibu wao wa kuwazuia wa
miezi hiyo bila ruhusa ya daktari
miezi hiyo bila ruhusa ya daktari
aunt alikuwa amepanga kujifunguria marekani na alikuwa ameshajipanga kwa safari hiyo.
0 comments:
Post a Comment