ads slot

Latest Posts:

HUU NDIO UWITO WA MTUNIS KWA WATANZANIA WAISHIO SAUZI

kufuatia kile kinachoendelea south afrika na liletamko la waziri wa mambo ya nje wa tanzania,
staa wa bongo muvi nice mohamedi maarufu kama mtunis ameandika katika ukurasa wake wa internet haya

haya wale wenzangu na mimi mliokaa sana SOUTH AFRIKA  na kujikuta hata nauli ya kurudia huna mbaya zaidi  huna hata sababu ya kujitetea umekaa miaka yote huna ulichokifanya
haya mungu kashusha neema yake ni kitendo cha kwenda pale kwenye kambi ya watakaorudishwa nyumbani
na ukifika huku cha kutujibu ni rahisi tu kuwa vitu vyako vyote vimechukuliwa na wenyeji kesi imeisha
KARIBUNI NYUMBANI.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment