ads slot

Latest Posts:

MMOJA WA MAJAMBAZI WALIOKAMATWA JANA JIJINI DAR ALIMVISHA PETE MCHUMBA WAKE HIVI KARIBUNI

Mmoja wa vijana wanne waliokamatwa jana  katika tukio la ujambazi mtaa wa Redcross katika ya jiji la dar es salaam
hivi karibuni anadaiwa kumvisha pete msichana mmoja anaedaiwa kuwa ni
mpenzi wake.
vijana hao walitiwa nguvuni na polisi baada ya kuvamia na kumpora fedha raia mmoja wa kigeni  maeneo ya kinondoni jijini dar es salaam, baada ya tukio hilo  walifanikiwa kukimbia na gari lao lakini kuna msamaria mwema aliwaona na kuanza kufukuzana nao kwa kutumia gari lake
alifanikiwa kuwapita na kuwazuia kwa mbele askari wakafika na kuwaweka chini ya ulinzi.
vijana hao watanashati ni vigumu kuwadhania kuwa wanaweza kujihusisha na ujambazi walikutwa na bunduki mbili.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment