Sijapenda kuweka wazi swala la mahusiano inabidi niweze kuwa na uhakika kuwa huyu ninaye mtambulisha kwa wananchi ni kweli wakati umefika, maana unaweza kumtambulisha baada ya siku tatu mambo yakabadilika ukaja kumtambulisha mwingine mwisho wa siku utaonekana kijana unatumia nafasi yako kuwachezea watoto wa kike, kwa hiyo najaribu kuwa makini kuhusu suala hilo lakini kipindi kitakapofika watu watafahamu kuwa ommy "BABY" wake ni yupi
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment