Staa wa muziki wa bongofleva na mduarakutoka zanzibar AT anaamini hakuna msanii yeyote wa muziki anayeweza kumzidi kuimba mduara
kupitia insta AT amesema
nasema hivi hakuna msanii atakayetokea kupita njia ninayopitia mimi katika mduara wala hakuna video itakayofunika sijazoea kwa ubora wa pc na muonekano wa uzuri wiki hii ndio ntafyatua mjipange upya
vipi anasema diamond au?
0 comments:
Post a Comment