mwanafunzi wa shule ya msingi pugu dar es salaam, Festo filberb (11) amekutwa chumbani kwake anapolala amejinyonga hadi kufa
kwa kutumia
mkanda wake wa kuvalia surualikwa kutumia
kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi ilala marry nzuki alisema tukio hilo lilitokea jana katika eneo la majohe kwa ngozama
alisema sababu za kujinyonga mtoto huyo bado hazijajulikana kwani hajaacha ujumbe wowote
mtoto huyu alikutwa chumbani kwake anakolala akiwa peke yake hakuna aliyejua sababu za kifo chake. alisema
alisema maiti ya mtoto huyo imehifadhiwa katika hospitali ya amana na polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo
0 comments:
Post a Comment