Staa wa bongo muvi wastara juma amepata ajali siku ya jumapili maeneo ya tabata magengeni akitokea mwananyamala alipokuwa
anaongea na wasanii wenzake
wastara anasema siku hiyo gari yake aina ya toyota canal alikuwa anaendesha meneja wake bond bin sinan walipofika maeneo ya tabata magengeni bond anafunga break kwa ghafla gari likaanza kuzunguuka nami nikawa najigonga gonga kwenye gari kwasababu sijafunga mkanda
mimi nilikuwa sielewi nilikuwa naona gari linazunguuka ikabidi nishuke kuokoa maisha yangu ndio bond akashuka na kuanza kunikimbiza hata hivyo walinzi wa bar moja ya jilani walinikamata hadi bondi alipofika nirudishwa kwenye gari nikiwa nimeumia maeneo ya kichwani
kwenye ajali wastara aliumia kidogo maeneo ya usoni na kupata maumivi kichwani kwasababu alijigonga sana
ila kwasasa anaendelea vizuri.
0 comments:
Post a Comment