Askari wa pikipiki wa jeshi la polisi waliokuwa wakitumia pikipiki no PK 834 Mali ya jeshi la polisi wamewekwa chini ya ulinzi na raia maeneo ya mindu na mmoja wa askari hao aliyejulikana kwa
jina Ramadhani ameuliwa na raia.
Chanzo cha sakata hili ni ajali ya pikipiki waliokuwa wanaifukuza ndipo dereva bodaboda ilipomshinda pikipiki yake na kulivamia lori.
ndipo raia walipoanza kuwatuhumu askari kuwa ndio chanzo cha ajali hiyo ndipo askari walipo fyatua risasi ili kuwatawanya raia lakini hali haikuwa kama walivyotarajia raia walizidi kuja kwa wingi na kuwazidi nguvu askari .
cha kushangaza raia walimuua kwa mawe askari mmoja na mwingine wakamruhusu na kumwambia kuwa wewe nenda hauna makosa,
askari aliyeuawa ni yule anayedaiwa kumuua marehemu ali Zona muuza magazeti katika harakati za maandamano ya CHADEMA 2011

0 comments:
Post a Comment