ads slot

Latest Posts:

Faiza ally aliyekuwa mke wa sugu akamatwa airport mkasa wote cheki hapa

Siku nilipokuwa nasafiri air port niliingizwa katika chumba flani pale air port na kupewa onyo kuhusu madawa ya kulevya na wakaniambia kuwa hata jack walimpa onyo kama walivyonipa
mimi matokeo yake ikiwa ndio safari ya mwisho jack alikamatwa
na hata nilipofika safari yangu huko HK pia walinishuku hii inaonyesha wazi kuwa hii biashara imekuwa kubwa huku Tanzania ,maana kila unapopita unashukiwa mimi huwa inanitokea mara kwa mara na ilishawahi kusachiwa sana china mpaka wakanipiga X-RAY.Na sio madawa tu na wizi na vimambo vingine vya kupuuzi ambavyo vinatusumbua sisi raia wema. alitoa ushuhuda huwo FAIZA ALLY


JE UNAHITAJI STORY ZOTE ZA MJINI LIKE FESIBUKU PAGE KWA KUCLIK HAPA>>>MTAANI MAGAZINE
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment