staa mrembo wa bongo muvi esha buheti asema anajipanga kumuomba msamaha staa mwenzake issa mussa maarufu kama cloud akiamini kwamba bila
kufanya hivyo mambo hayawezi kumnyookea.
esha alisema yeye na cloud ni kama dada na kaka yake lakini kwa hali inavyoonekana kama msanii mwenzake huyo anakinyongo naye hivyo atakwenda kumuomba radhi ili tofauti zao ziishe
yaani nimekaa na kuona kuwa ipo haja mimi kumtafuta cloud na kumuangukia maana naona mambo yangu hayaendi vizuri. alisema esha huku akidai kuwa kitu kinachomfanya cloud kummaindi ni baada ya yeye kusema anajitoa bongo muvi.
0 comments:
Post a Comment