ads slot

Latest Posts:

JACK DUSTAN: Wanaume za watu watatuua

Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan amefunguka kuwa mastaa wamepachikwa nembo ya kuwa ni vinara wa kubeba waume za watu jambo ambalo
linawapa sifa mbaya.Akizungumzia mwenendo wa mastaa wengi kuhusishwa naskendo ya kutembea na waume za watu, Jack alisema:“Yaani sisi mastaa tumepachikwa nembo ya kupora waume za watu. Imefika wakati hata kama umempata mpenzi wako mtu anakuuliza umempora nani. Huwa inaniuma sana.“Kimsingi tuna sifa mbaya na tusipobadilika waume za watu hawa watatuua.”
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment