Staa wa bongo muvi na mrembo wema sepetu amekubali kutibiwa na waganga wa jadi tatizo lake la kutozaa, wamejitokeeza waganga na kujitolea kumtibu staa huyo
ni ajabu mtu kama
wema sizae wakati mimi naweza kumsaidia tatizo lake mpeni namba yangu ya simu anitafute alisema mganga huyo huku akiombwa jina lake lisitajweni ajabu mtu kama
na tukamtafuta wema kuhusu hili upande wake alijibu kuwa nimekubali ila kwenu ni 26 kwangu kwenye namba yangu ya whatsapp nina mesegi zaidi ya 400 na simu nyingi nimepigiwa ila ningependa kuwa na mtu wakaribu ili tatizo langu litakapoisha iwe rahisi kuzaa. Alisema wema
0 comments:
Post a Comment