ads slot

Latest Posts:

Marekani yatangaza kufunga ubalozi wake nchini Burundi

SERIKALI ya Marekani imetangaza kufunga ubalozi wake wa mjini Bujumbura, nchini Burundi kutokana na kuendelea machafuko yanayohatarisha usalama nchini humo.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Jeff Rathke ubalozi huo utaendelea kutoa huduma za dharura kwa raia wake katika kipindi cha kufungwa kwake nchini Burundi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment