ads slot

Latest Posts:

Jumuiya ya kiislamu yatoa Uwito ulimwenguni

HARAKATI ya Jumuiya ya Waislamu nchini Misri ya  imeutaka ulimwengu wa Kiislamu na wa Kiarabu kuchukua hatua za pamoja za kupambana na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

Taarifa ya harakati hiyo imetolewa  kwa mnasaba wa kumbukumbu za kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina, 'Nakbat' ambapo imesisitizia umoja na mshikamano katika kupambana na utawala huo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment