ads slot

Latest Posts:

Taasisi ya osama yadai fbi yawakandamiza waislamu

TAASISI ya Osama Siblani, inayosimamiwa na Wamarekani wenye asili ya Kiarabu, imesema kuwa Askari  Polisi wa Marekani wa FBI wanawakandamiza Waislamu wa nchi hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika Taasisi hiyo, Askari hao Polisi, wanawakandamiza Waislamu kupitia kushadidisha ujasusi dhidi ya jamii yao hasa katika mitandao ya Intaneti.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment