ads slot

Latest Posts:

Zsidi ya wanafunzi 80 waendelea na mgomo


ZAIDI ya Wanafunzi 80 wa Chuo cha Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo nchini LITA Kampasi ya Morogoro wameendelea na Mgomo kufuatia Wanafunzi hao kudai kutolewa vyeti Viwili kwa ngazi ya Diploma

Wakizungumza na waandishi wa habari Baadhi ya Wanafunzi wa Mwaka wa Pili wametaka kupewa Vyeti viwili badala ya Kimoja jambo ambalo linawapa changamoto kubwa katika kupata ajira.

Kwa upande wake Mwakilishi Mtendaji Mkuu wa LITA amesema kuwa Chuo hicho kitatoa cheti kimoja kama Mkataba unavyoeleza.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment