ads slot

Latest Posts:

Madiwani wa halmashauri ya hanang wagoma

MADIWANI wa Halmashauri ya Hanang Mkoani Manyara wamegoma kuendelea na Kikao badala ya Ofisi ya Mkurugenzi kutowasilisha taarifa ya upotevu wa fedha zaidi ya shilingi milioni 280
Madiwani hao wamechukua uamuzi wa kuondoka katika Kikao hicho badala ya Mwenyekiti  wa Halmashauri hiyo Anju Mang'ola kusema kuwa taarifa za Fedha hizo za Maendeleo ya shule   hazijakamilika. 

Wakizungumza mara baada ya kugoma  baadhi ya Madiwani hao wamesema kuwa hawatoshiriki katika kikao hicho baada ya kuwepo kwa udanganyifu kwa Viongozi hao.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment